Full-Width Version (true/false)


Album ya msanii Vanessa Mdee “MoneyMondays” yavunja rekodi Afrika Mashariki


 Album ya msanii Vanessa Mdee “MoneyMondays” ikiwa ndio Album yake ya kwanza toka aanze kufanya muziki, imeonekana kupata soko kubwa na kufikia mauzo ya juu kwa kuwa Album ya kwanza Afrika Mashariki kusikilizwa zaidi.

Kupitia ukurasa wa instagram wa Vanessa Mdee amewashukuru mashabiki zake kwa kuifanya Album ya “MoneyMondays” kutambulika zaidi na kuuzika katika platforms zote ikiwemo mtandao wa Boomplay ambapo album yake imesikilizwa zaidi ya watu millioni.

>>>”Thankyou Asante Sana for making #MoneyMondaysTheAlbum the NO 1 ALBUM in East Africa @mdeemusicofficialmmetisha @boomplaymusic_tz@boomplaymusicke @boomplaymusicng with over  million plays/streams. #SwimmingInJesusJuice#BestFansInTheWorld #IndependentArtist#BongoFlava #Tanzania #Kenya #Uganda#Rwanda #Burundi #SwahiliPop #SheKing ”

Good News hiyo inakuja leo May 15, 2018 ikiwa Album hiyo ya “MoneyMondays” inafikisha miezi minne tokea itambulishwe rasmi December 29,2017.No comments

Powered by Blogger.