Full-Width Version (true/false)


Aliyewahi kuwa Kiongozi wa juu China ahukumiwa kifungo cha maisha jelaMay 8, 2018, Aliyewahi kuwa Kiongozi wa Juu wa Chama cha Kikomunisti China na kuwahi kugombea nafasi kubwa za uongozi serikalini amehukumiwa kifungo cha maisha jela baada ya kukutwa na hatia ya rushwa.

Kiongozi huyo Sun Zhengcai, amekutwa na hatia ya kuchukua hongo ya hadi Dola za Marekani milioni 26.7 ambayo ni sawa na Shilingi Bilioni 64 za Kitanzania.

Kiongozi huyu mwenye umri wa miaka 54 alikiri kutenda kosa hilo mwezi April 2018 na inaelezwa kuwa mali zake zote ambazo amezipata kwa njia haramu zitataifishwa.

No comments

Powered by Blogger.