Full-Width Version (true/false)


Anachowaza kufanya Mbwana Samatta akistaafu kucheza mpira
 
Mbwana Samatta

Mshambuliaji wa klabu ya KRC Gent ya nchini Ubelgiji mtanzania,Mbwana Ally Samatta amefunguka na kueleza adhmana yake ya kuwa mwalimu wa soka hapo baadae.

Samatta ameeleza hayo kupitia ukurasa wake wa instagram kwamba anawaza siku moja awe kocha.

"Nawaza siku moja nije kuwa kocha wa soka mnadhani nafaa kuwa kocha? wa aina gani? "kuupiga mwingi au mwendo wa vilima"?🤔",Ameandika Samatta.

 

No comments

Powered by Blogger.