Full-Width Version (true/false)


Askofu Mdolwa Ikulu: Kazi anayofanya Rais Magufuli bila maombi ni bure

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana nchini Dkt. Maimbo Mndolwa Ikulu jijini Dar es Salaam, kabla ya kusimikwa kuwa Askofu Mkuu wa kanisa hilo.

Nje ya Ikulu Dkt. Mdolwa amezungumza na kusema Tanzania inayokuja inaonekana kuwa ya neema na ya kipekee licha ya kuwepo changamoto mbalimbali. Amesema kazi anayoifanya Rais Magufuli ni kubwa na bila kumuombea itakuwa ni kazi bure.
Tazama pichha mbalimbali toka Ikulu

No comments

Powered by Blogger.