Full-Width Version (true/false)


Azam wamkadhidhi Donald Ngoma jezi kama ya Yanga

 

Klabu ya azam fc imepanga kumpatia jezi namba 11 mchezaji wao mpya mzimbabwe Donald Ngoma ambaye wamemsajiLi hivi karibuni akitokea klabu ya Yanga.

Awali jezi hiyo ndani ya klabu ya Azam ilikuwa inatumiwa na mghana Yahaya Mohamed ambaye ameodoka klabuni hapo.

Lakini pia Donald Ngoma wakati yupo Yanga alikuwa anatumia jezi namba 11.


Ngoma ni miongoni mwa wachezaji wa Azam watakaoiwakilisha timu hiyo kwenye michuano ya Kombe la Kagame inayotarajiwa kuanza kati ya mwezi Juni na Julai mwaka huu.

No comments

Powered by Blogger.