Full-Width Version (true/false)


Binti wa Rais wa Kenya, Ngina Kenyatta afuata nyayo za Shilole

Picha inayohusiana
Licha ya kutoka kwenye familia tajiri mtoto wa kike pekee wa Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta, Ngina Kenyatta ameamua kuuweka pembeni umaarufu wake na kujiingiza kwenye shughuli za ujasiriamali kwa kufungua mgahawa wake.
Ngina Kenyatta


 


 

Mkurugenzi wa Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Kenyatta (KICC), Nana Gecaga ambaye pia ni binamu yake na Ngina Kenyatta amethibitisha taarifa hizo kupitia ukurasa wake wa Instagram.

Mgahawa huo wa kisasa utakuwa na huduma za vyakula vya aina zote, vinywaji (Juisi na mvinyo) na pia kutakuwa na watoa elimu kwa watu ambao watahitaji kutembezwa kwenye mashamba yao chai.
“The Green Experience So yesterday I got to be part of #TheGreenExperience which is an afternoon spent at a breathtaking location where you are first educated and able to sample all the special varieties of teas now being grown in kenya…then treated to a 5 course meal each paired with a specific wine (for those of you that dont drink you have wonderful juices and non alcoholic beverages) the food is prepared by one of Kenya’s newest and hottest chef’s to hit the market and the host who looks after you is again one of kenya’s latest architectural designers who has not held back on attention to details and your surroundings…the dynamic duo are bringing a new twist to day and dinning experience in kenya.“ameandika Nana Gecaga.
Hatua kama hii sio ngeni nchini Tanzania ambapo mwaka jana tulishudia msanii maarufu wa muziki wa Bongo Fleva, Shilole akifungua mgahawa wake ingawaje yeye wa kwake upo mjini.

Baadhi ya vyakula

No comments

Powered by Blogger.