Full-Width Version (true/false)


Bukoba: Mahakama yamhukumu miaka 60 jela Ustadh Amoud kwa ubakaji na kulawiti mtoto aliyekuwa akimfundisha elimu ya diniMahakama ya Hakimu Mkazi wilaya ya Bukoba imemuhukumu kwenda jela miaka 60, Ustadhi Amoud Kyabushukuru kwa makosa mawili ya ubakaji na kulawiti mtoto mdogo wa kike aliyekuwa akimfundisha somo la dini.


Akisoma mashitaka hayo Wakili wa Serikali Grey Uhagile amesema mshitakiwa huyo alitenda makosa hayo Julai 6 mwaka jana.

 

No comments

Powered by Blogger.