Full-Width Version (true/false)


Mbunge wa Kakonko (Chadema) afariki Dunia

bunge wa Kakonko, Kasuku Bilago (Chadema), amefariki dunia leo Jumanne Mei 26,2018 jioni hii katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alikokuwa amelazwa tangu juzi akipatiwa matibabu.


 Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amethibitisha.

No comments

Powered by Blogger.