Full-Width Version (true/false)


DABI YA MBEYA YAKOSA MBABEDabi kubwa iliyowakutanisha Mbeya City na Tanzania Prisons kwenye Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya, imemalizika kwa suluhu ya 0-0.

Mchezo huo uliokuwa unasubiriwa kwa hamu, umeshindwa kutoa mbabe kwa timu zote kushindwa kutambiana.

Timu hizo zimeweza kuambulia pointi moja kwa kila mmoja ambapo Mbeya City imefikisha alama 30 na Prisons ikifikisha 41.

Tayari bingwa wa ligi msimu huu ameshapatikana na sasa mechi zote zilizobaki zimekuwa za kukamilisha ratiba pekee.

No comments

Powered by Blogger.