Full-Width Version (true/false)


Dkt Shika Amekuwa 'Mcharo' Mabilioni Yake Kutoka Uswizi Yameingia Tayari

MVUMILIVU hula mbinu, hivyo ndivyo tunavyoweza kusema baada ya aliyekuwa miongoni mwa watu waliokuwa wanataka kununua nyumba za mfanyabiara Said Lugumi zilizokuwa zinapigwa mnada na serekali, Dk Lous Shika, baada ya kusambaa kwa taarifa kuwa mabilioni yake ya pesa aliyokuwa anayategemea kutoka nchini Uswizi hatimaye ameshayatia kibindoni.

Kutokana na kusambaa kwa taarifa hizo katika mitandao mbalimbali ya kijamii hapa nchini Global TV Online imeweza kufunga safari hadi katika makazi mapya aliyoamia Dk. Shika na kufanya naye mahojiano ambapo amesema kuwa ni kweli amefanikiwa kupata sehemu ya fedha zake alizokuwa anazisubiri kutoka nje ya nchi.

No comments

Powered by Blogger.