Full-Width Version (true/false)


Donald Ngoma asaini mwaka mmoja Azam FCTaarifa kutoka chini ya kapeti ambazo si rasmi zinasema Mshambuliaji wa  Yanga, Mzimbabwe, Donald Ngoma , amesaini mkataba wa mwaka mmoja kuitumikia klabu ya Azam FC msimu ujao.

Makamu mwenyekiti wa azam FC Abdulkarim Amin amethibitisha kuwa klabu yake ilikuwa na mazungumzo na Ngoma.


Taarifa za Ngoma kusaini kuichezea Azam FC zilianza kutikisa saa chache kabla ya waumini wa dini ya Kiislamu kupata futari jioni ya leo may 25,2018na, mmoja wa mabosi wa klabu hiyo ndiye aliyefanikisha usajili huo.

Endelea kuwa nasi kupata taarifa kamili hapo baadaye.

No comments

Powered by Blogger.