Full-Width Version (true/false)


EXCLUSIVE:Tayari Simba imemalizana na Adam Salamba kwa mkataba wa miaka mitatu,Mo Dewji asimamia "show" 
 
Hatimaye Simba imemalizana na mshambuliaji kinda wa Lipuli FC, Adam Salamba.
 

Salamba amesaini kuitumikia Simba kwa mkataba wa miaka mitatu.
 

Kazi ya kusaini mtaba hup imefanyika mbele ya Kaimu Rais wa Simba, Salim Abdallah ‘Try Again’.


Baada Salamba alipata nafasi ya kuona ana Mohamed Dewji, Bilionea anayetarajia kuwekeza ndani ya Simba kitita cha Sh bilioni 20.

No comments

Powered by Blogger.