Full-Width Version (true/false)


fursa,kama upo morogoro mjini na maeneo ya jirani,fursa hii si ya kuikosa
kampuni ya super life inayotoa fursa kwa vijana kujiajiri imendaa semina ya siku moja itakayofanyika siku ya jumapili tarehe 13 may,2018 katika ukumbi wa kipepeo hall -savoy hotel mjini morogroro kunzia saa 8:00 mchana hadi saa 12:00 jioni.

team gwandiko itakuwepo mjini morogoro siku hiyo kukupa elimu namna ya kuweza kujiajiri na kujipatia kipato kwa njia rahisi.

kama upo morogoro na sehemu za jirani hii ni fursa adhimu kwako,si ya kuikosa. hakutakuwa na kiingili,imedhaminiwa na kampuni ya super life .

wasiliana na namba hii kwa maelezo zaidi 0757974134

No comments

Powered by Blogger.