Full-Width Version (true/false)


Gareth Bale na mpenzi wake Emma Rhys wapata mtoto wa tatu

Mchezaji wa Real Madrid Gareth Bale na mpenzi wake Emma Rhys-Jones wamefanikiwa kupata mtoto wao wa tatu Jumanne hii.Tayari mtoto huyo wa kiume amepewa jina la Axel Charles Bale.Bale amethibitisha hilo kupitia mtandao wa Instagram kwa kuandika, “We are delighted to welcome a baby boy into our family this morning. Axel Charles Bale 08.05.18 πŸ‘ΆπŸ»πŸ’™.”

Axel Charles anaungana na ndugu zake wengine wawili Alba Violet (5) na Nava Valentina (2).

No comments

Powered by Blogger.