Full-Width Version (true/false)


Good News:Mtilah Blog, namba 8 Trending App in Play Store


Good news kwa wewe mdau wa Mtilah Blog ni kwamba App yako pendwa ya Mtilah Blog ipo nafasi ya 8 katika App zinazotrend play store.
Hii maana yake kwamba watu wameanza kuielewa na kila siku watu wengi zaidi wanaipakua.Ni app ambayo rahisi kuitumia

Mtilah Blog tutaendelea kuhakikisha upitwi na jambo.

Kama bado hujapakua App hiyo pakua sasa ,kuna mengi unayakosa na kama tayari umeshapakua  basi usiwe mchoyo wajulishe ndugu jamaa na marafiki waambie waipakue waweze kuhabaraika zaidi.
Ingia Play Store ndika Mtilah Blog,itakuja ya kwanza yenye icon nyeusi kisha instal ,au.Bofya hapa kuidownload 

Ukishapakua tutumie maoni yako kupitia whatsapp namba 0658303252


No comments

Powered by Blogger.