Full-Width Version (true/false)


Familia ya heche yakubali kumzika Suguta

Habari  ni kwamba Familia ya Mbunge John Heche yakubali kumzika ndugu yao Sunguta Chacha.
Baada ya Familia ya Heche kukataa kumzika ndugu yao kutokana na kuuawa na Polisi siku 4 zilizopita leo Familia hiyo imetangaza kuwa imeridhia kumzika ndugu yao.

No comments

Powered by Blogger.