Full-Width Version (true/false)


Hii Hapa Hotuba Nzito iliyompa Ushindi mnono Masele kuwa Makamu wa Rais Bunge la Afrika


Miongoni mwa habari kubwa wiki hii ni kuhusu Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini (CCM), Mheshimiwa Stephen Masele kuchaguliwa kwa kishindo kuwa Makamu wa Rais wa Bunge la Afrika (PAP).
Uchaguzi huo ulifanyika Mei 10, 2018 nchini Afrika Kusini.
Nimekuwekea hapa Hotuba ya Mheshimiwa Masele iliyompa ushindi. 
Tazama video hapa chini

No comments

Powered by Blogger.