Full-Width Version (true/false)


Idadi ya watu wasio na ajira imeongezeka

Wakati Tanzania Waziri Mkuu akiweka msisitizo wa ajira za ndani kuwanufaisha wazawa leo May 18, 2018 nikusogezee utafiti unaoonyesha idadi ya watu wasio na ajira nchini Marekani imeongezeka hadi elfu 222 wiki iliyopita.

Kwa mujibu wa Idara ya Kazi ya Marekani, idadi ya watu wanaodai mapato yao ya kwanza ya ukosefu wa ajira katika wiki ya mwisho ya May ilikuwa 222,000, ikiwa ni ongezeko la elfu 11 ikilinganishwa na ilivyokuwa wiki iliyopita.

Matarajio katika soko yalikuwa 215,000. Takwimu pia imeonyesha kuwa idadi ya  ukosefu wa ajira ilipungua kwa 2,750 hadi 213,550.

No comments

Powered by Blogger.