Full-Width Version (true/false)


Idris Sultan azua gumzo kwa Shilole

Mchekeshaji Idris Sultan amezua hii jingine kupitia ukuarasa wake wa instagram baada ya kum-post Shilole “Shishi baby” na kuandika caption ambayo imezua gumzo kwa mashabiki kutokana na comments zilizoandikwa kupitia picha hiyo.

Idris Sultan aliandika “Ana nyumba, ana bishara zaidi ya tatu, ana watoto, ameolewa na ni maarufu na bado ana baby face. Mi nina kiingereza tu. Tuendelee kuendekeza ujinga tutajua nani anamcheka mwenzake 😂🙌🏽”


Idris Sultan amezoeleka na mashabiki kutoa mafunzo pamoja na vichekesho kupitia ukurasa wake wa instagram na hiki alichokipost leo kimechukuliwa kama funzo kwa watu wasiojishughulisha na biashara yoyote.

No comments

Powered by Blogger.