Full-Width Version (true/false)


IGP Sirro afanya teuzi mbalimbali ndani ya Jeshi la Polisi

 

IGP Simon Sirro amemteua Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi, Ramadhan Ng’anzi kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi (RPC) Mkoa wa Arusha.
Aliyekuwa RPC Arusha, Naibu Kamishna wa Polisi, Charles Mkumbo amehamishiwa Makao Makuu ya Upelelezi Dar es Salaam.

No comments

Powered by Blogger.