Full-Width Version (true/false)


JKU haooo, waifuata Simba Sportpesa super cup
Kikosi cha JKU cha Zanzibar nacho kimeondoka nchini kwenda Nairobi nchini Kenya.

JKU wanakwenda kushiriki michuano ya SportPesa Super Cup itakayofanyika Nakuru nchini Kenya.

Tayari Simba wameshaanza safari ya kwenda Kenya na sasa tayari wako nchini humo wakifanya maandalizi ya mwisho.


Michuano hiyo itaanza Jumapili ikishirikisha timu nane, nne kutoka Tanzania na nne kutoka Kenya.

No comments

Powered by Blogger.