Full-Width Version (true/false)


Kampuni ya UDART Yaipeleka Serikali Mahakamani Kupinga Kuletwa Kwa Mwekezaji MpyaKampuni inayoendesha Mradi wa Usafiri wa Mabasi ya Mwendokasi(UDART), imefungua kesi mahakamani dhidi ya Jamhuri, kupinga kitendo cha Serikali kutaka kuleta mwekezaji mpya
-
Hatua ya Serikali kutafuta mwekezaji mwingine ilitangazwa Mei 10, 2018 na Waziri Mkuu akiwa Bungeni baada ya kampuni hiyo kuonekana kusuasua katika kuendesha mradi huo
-
Itakumbukwa kuwa Kampuni ya UDART ilifunguliwa kesi ya madai Mahakamani na Kampuni ya Maxcom wiki tatu zilizopita kwa kushindwa kulipa gharama za uendeshaji, uwekezaji na hata stahiki za wafanyakazi

No comments

Powered by Blogger.