Full-Width Version (true/false)


kamusoko kutua Azam?

 

 
Baada ya Azam kuinasa saini ya Donald Ngoma tokea Yanga ,Sasa kuna tetesi za Azam kumuwinda kiungo mwingine wa Yanga raia wa Zimbabwe Shabani kamusoko.
Kufwatia tetesi hizo uongozi wa Azam umetolea ufafanuzi juu ya swala hilo la usajili wa Kamusoko.
Akiongea na E-FM radio kupitia kipindi maarufu cha michezo cha Sports H-Q Kaimu Mwenyekiti wa Azam Footbal Club Abdulkarim Maarufu kama Popat,amesema hakuna taarifa kama hizo mpaka sasa ila taarifa za chinichini zinadai Azam washamalizana na Kotinyu kiungo wa Singida na Raia wa Zimbabwe pia.

No comments

Powered by Blogger.