Full-Width Version (true/false)


Kinana amkabidhi ofisi Dkt. BashiruMei 28 mwaka huu, Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ilipokea ombi la Abdulrahman Kinana kustaafu kwa Katibu Mkuu wa CCM, ombi ambalo liliridhiwa na Mwenyekiti wa Chama hicho, Dkt. John Pombe Magufuli.Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi(CCM) Mei 29 mwaka huu ilimpitisha Dkt. Bashiru Ally kuwa Katibu Mkuu wa Chama hicho akichukua nafasi iliyoachwa wazi na Abdulrahman Kinana.Hatimae leo Kinana amemkabidhi nyaraka kama ishara ya kumkabidhi rasmi ofisi Katibu Mkuu mpya wa chama hicho, Dkt. Bashiru katika ofisi ndogo za Chama cha Mapinduzi(CCM),Lumumba jijini Dar es Salaam.Tazama picha zaid:
No comments

Powered by Blogger.