Full-Width Version (true/false)


Klabu ya Yanga yasisitiza umoja ‘We are One’

Baada ya kuvuliwa ubingwa wa ligi kuu Vodacom Tanzania Bara hapo jana klabu ya Yanga imewataka mashabiki wake kuwa wamoja kwenye kipindi hiki kigumu.Kupitia ukurasa wake wa kijamii wa Instagram kwa nyakati tofauti klabu hiyo yenye maskani yake mitaa ya Jangwani Yanga imesisitiza kuwa wamoja.


We play together, we win together, We lose together, We stay together.

YOUNG AFRICANS SPORTS CLUB
#weareone#WeAreOne “Daima Mbele Nyuma Mwiko”.

Msimu umekuwa na changamoto nyingi, jambo la kufanya kwa sasa ni .. ..! @modaima ametoa neno hili..!

No comments

Powered by Blogger.