Full-Width Version (true/false)


Korea Kaskazini: Tupo tayari wakati wowote kufanya mazungumzo na Marekani

Korea Kaskazini yafahamisha kuwa ipo tayri wakati wowote kufanya mazungumzo na Marekani baada ya kufutwa kwa mkutano uliokuwa ukitarajiwa kufanyika baani ya rais wa Marekani Donald Trump na rais wa Korea Kaskazini Kim Jon Un.

Marais hao waliokuwa wakitarajiwa kufanya mazungumzo yaliokuwa yakisubiriwa kwa hamu kubwa. Taarifa rasmi zilitolewa Alkhamis zikifahamisha kuwa mkutano  uliokuwa ukitarajiwa baina ya Trump na Ki umefutwa.

Naibu waziri wa mambo ya nje wa Korea Kaskazini Kim Kye  gwan amesema kuwa Korea Kaskazini ipo tayari kwa mazungumzo wakati wowote ule na Marekani.

No comments

Powered by Blogger.