Kuwa wa kwanza kupata Breaking News,Jiunge na familia ya wajanja hapa
Good
news kwa wewe mdau wa Mtilha Blog ni kwamba App yako pendwa ya Mtilah
Blog ipo nafasi ya 8 katika App zinazotrend play store.
Hii maana yake kwamba watu wameanza kuielewa na kila siku watu wengi zaidi wanaipakua.Ni app ambayo rahisi kuitumia
Mtilah
Blog tutaendelea kuhakikisha upitwi na jambo.Kama bado hujapakua App
hiyo pakua sasa ,kuna mengi unayakosa na kama tayari umeshapakua basi
usiwe mchoyo wajulishe ndugu jamaa na marafiki waambie waipakue waweze
kuhabaraika zaidi.
No comments