Ligi ya mabingwa wa mikoa kuanza kutimua vumbi May 6,2018

Ligi ya Mabingwa wa Mikoa(RCL) inatarajia kuanza kutimua vumbi
kuanzia Jumapili Mei 6 na kumalizika Mei 22,2018 kwenye vituo vinne.
Ligi hiyo ya RCL itashirikisha timu 28 zilizogawanywa kwenye makundi
manne kwenye vituo vya Geita,Singida,Rukwa na Kilimanjaro na kila kundi
kwenye kituo likiwa na timu 7.
Kila kundi litapandisha timu 2 wakati zitakazobaki zitarudi ligi ya mkoa.
No comments