Full-Width Version (true/false)


List ya makocha na wachezaji wanaowania tuzo ya EPL mwezi April

Jumanne ya May 1 2018 Ligi Kuu England wametangaza list ya wachezaji wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa mwezi April na makocha wanaowania tuzo kocha bora wa April.
Wachezaji Pierre-Emerick Aubameyang wa Arsenal, Christian Eriksen wa Tottenham, Jake Livermore  wa WestBrom, Jordan Pickford wa Everton, Paul Pogba wa ManUnited, Raheem Sterling wa ManCity na Wilfried Zaha wa Crystal Palace ndio wamechaguliwa kuwania tuzo ya mchezaji bora.

Kwa upande wa makocha Sam Allardyce wa Everton, Pep Guardiola wa ManCity, Roy Hodgson wa Crystal Palace, Darren Moore wa West Bromwich Albion na Jose Mourinho wa ManUnited ndio wametajwa kuwania tuzo ya kocha bora.

No comments

Powered by Blogger.