Full-Width Version (true/false)


Mafuriko yasababisha vifo vya watu 16

Mafuriko na maporomoko ya ardhi yamesababisha vifo vya watu 16 nchini Afghanistan.
Kwa mujibu wa habari,wilaya nane zinazokaribiana na Tajikistan zimeathiriwa vibaya na mafuriko hayo.

Zaidi ya nyumba 500 zimeangamia huku kukiwa na majeruhi ishirini.

Msemaji wa Tajikistan amesema kuwa mafuriko yametokea kufuatia mvua kubwa kunyesha katika maeneo husika.

Maeneo mengi yaliyoathirika ni kaskazini mwa Afghanistan.

No comments

Powered by Blogger.