Mapenzi ya Dogo Janja na Irene Uwoya mambo ni moto
Msanii wa Muziki wa Bongo Flava, Dogo Janja azidi kuyaanika mapenzi
aliyonayo hadharani kwa mke wake ambaye ni Muigizaji,Irene Uwoya.
Dogo Janja kupitia ukurasa wa instagram amepost picha akiwa na mke wake huyo na kuandika caption iliyoandikwa hivi “thamani ya upendo wako ni ya maisha kama maisha yalivyo ni upendo.”
Irene Uwoya nae hakukaa kimya alimjibu Dogo Janja na kusema “Nakupenda leo jana na milele.”
No comments