Full-Width Version (true/false)


MASHINDANO YA KUFANYA SURA KUWA MBAYA
DUNIA ina vituko sana unaambiwa hivi huko nchini Uingereza kuna mashindano ya kufanya sura kuwa mbaya (Gurning Competitions),mmoja wa washindi wa kihistoria wa mashindano hayo, Anne Woods ameshinda mara 27 katikati ya miaka ya 1977 hadi 2010.

Aidha duru zinasema kuwa familia yake ndio ilimuingiza Anne kwenye mashindano hayo mwaka 1977 na kwa sasa amestaafu kushiriki mashindano hayo.Mashindano hayo yalianzishwa mwaka 1267 nchini Uingereza na hufanyika kila mwaka mwezi September huko Egremont,Cumbria nchini Uingereza.

No comments

Powered by Blogger.