Full-Width Version (true/false)


MBEYA: Mwanafunzi wa Chuo ajinyonga kufuatia matokeo ya mpira Kombe la UEFA kati ya Madrid na LiverpoolKijana mmoja ambaye kwa haraka hajafahamika jina lake lakini ni mwanafunzi wa Chuo cha S. Agustine Mbeya amekutwa amejinyonga kwa kile ambacho tetesi zinazotaja ni kwa sababu ya matokeo ya mpira katika mtanange wa Kombe la UEFA uliochezwa jana usiku may 26,2018  baina ya Real Madrid na Liverpool ambapo Madrid walishinda 3-0


Pichani ni baadhi ya majirani wa Kijana huyo pamoja na uongozi wa Serikali za mtaa a wakiambatana na Jeshi la Polisi  kuupeleka mwili huo kwa ajili ya uchunguzi zaidi.

Habari kamili kuhusiana na tukio hilo, zitafuata baadaye

No comments

Powered by Blogger.