Full-Width Version (true/false)


Mbunge wa CHADEMA,Peter Msigwa aomba radhi kwa kumsifia Rais Magufuli

 

Mbunge wa Iringa Mjini CHADEMA Peter Msigwa aomba radhi kwa video iliyosambaa jana ikionyesha akimsifia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli.


Ufafanuzi wangu bado haueleweki na ni heshima kuzingatia maumivu yenu kwa mkanganyiko huu. Nagundua rafiki zangu na wanachama wetu wanaugua.Basi niseme nini?Naomba nisameheni sana. The cause we are fighting for is more important than my personality. I take full responsibility,” ameandika Msigwa kwenye ukurasa wake wa Twitter.

Katika Video hiyo,Msigwa alimpongeza Rais magufuli kwa kupeleka fedha za ujenzi wa barabara mkoani Iringa na kueleza kwamba Rais magufuli haaingalii vyama likifika suala la maendeleo

No comments

Powered by Blogger.