Full-Width Version (true/false)


Meya wa Ubungo Boniface Jacob aingia kwenye muziki,ameachia ngoma yake "Mwaga pesa",isikilize hapaMeya wa Ubungo kupitia CHADEMA, Boniface Jacob ameamua kuingia kwenye sanaa ya muziki.

Meya Jacob tayari ameachia wimbo wake katika mitandao ya kijamii inayoitwa ‘Mwaga Pesa’ ikiwa imebeba maudhui ya kuhamasisha maendeleo katika Halmashauri ya Ubungo.
isikilize hapa chini

No comments

Powered by Blogger.