Full-Width Version (true/false)


Mgodi wa Almasi wagunduliwa katika gereza


Mgodi wa madini ya Almasi wagunduliwa katika gereza moja   Kaskazin-Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Mamlaka husika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imefunga gereza hilo  na kuwaamisha wafungwa baada ya kupata taarifa mwishoni mwa wiki iliopita kuwa  wafungwa walikuwa wakichimba almasi kwa muda wa wiki kadhaa katika gereza hilo.

Mmoja miongoni mwa viongozi katika eneo la Osio Tshopo mjini Kisangani,  almasi imegunduliwa katika gereza la Osio Kaskazini-mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Wafungwa katika gereza hilo wamethibitisha taarifa hiyo na kufahamisha walikuwa wakishirikiana na baadhi ya viongozi katika gereza hilo.

No comments

Powered by Blogger.