Full-Width Version (true/false)


Mhadhiri Chuo Kikuu UDOM auawa kwa kuchomwa kisu na mumewe kwa wivu wa mapenzi

 

Mhadhiri wa Chuo cha Biashara katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) Rose Mdenye ameuawa kwa madai ya kuchomwa kisu na mumewe usiku wa kuamkia leo Mei 26 kwa wivu wa mapenzi.
 

Akizungumza na Mwananchi Digital leo asubuhi, Ofisa Uhusiano wa Chuo hicho, Beatriece Mtenga amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kwamba taarifa zaidi zitatolewa baadaye.
Mtenga amesema msiba upo Kisasa Sheli.
 

No comments

Powered by Blogger.