Full-Width Version (true/false)


BREAKING NEWS:Mbunge wa Chadema ambaye ni mke wa David Kafulila apata ajali 
Jesca Kishoa

Mbunge wa Viti Maalum (Chadema), Jesca Kishoa ambaye pia ni mke wa mwana siasa David Kafulila amepata ajali leo Ijumaa Mei 11,2018 karibu na jengo la Bunge mjini Dodoma. Mume wa Kishoa, David Kafulila  amethibitisha tukio hilo na amesemwa kwamba Kishoa amekimbizwa kwenye hospitali ya bunge kwa ajili ya matibabu.


Taarifa zaidi tutakuletea hapo baadae.Endelea kufurahia habari kutoka Mtilah Blog kwa kudowload app yetu iliyopo play store.>>>BOFYA HAPA

No comments

Powered by Blogger.