Full-Width Version (true/false)


Mwanamke apigwa mawe hadi kufa kwa kuolewa na wanaume 11

Mwanamke anayefahamika kwa jina la Shukri Abdullahi Warsame kutoka nchini Somalia amepigwa mawe hadi kuuawa na wanamgambo wa kikundi cha Al-Shabab baada ya kukutwa na hatia ya kuolewa na wanaume wengi.

Mwanamke huyo amepigwa mawe hadi kuuawa baada ya mahakama ya kundi hilo la wanamgambo wa Kiislamu na kumkuta na hatia ya kuolewa mara 11 bila kutalikiwa na waume zake hao.

Inaelezwa kuwa mwanamke huyo alifukiwa kiwiliwili ardhini na kubakizwa kichwa tu na ndipo wanamgambo hao walipompiga mawe kichwani hadi akafariki.

No comments

Powered by Blogger.