Full-Width Version (true/false)


`Na hii ndiyo orodha ya wachezaji wa Team Kiba,yupo Okwi, Ajiba nk,msemaji wa timu ni Mpoki

 

Kuelekea mchezo maalum wa kukata na shoka  kati ya Team Kiba vs Team Mbwana Samatta wa kujitolea ili kuchangia elimu,msanii alikiba ameweka hadharani orodha ya wacheji 20 wa timu yake.


Wachezaji waliotajwa kwenye kikosi hiko ni Shaaban Kado, Aishi Manula ,Gadiel Michael ,Said Ndeml
a, Adam Salamba, Ally Saleh Kiba,Paul Nonga, Abdul kiba.


Wengine ni Himid Mao Erasto Nyoni,Agrey Moris ,Ibrahim Ajib ,Haruna Niyonzima, Abdu Kassim,Emmanule Okwi ,Abdi Banda ,Saimon Msuva, Shaaban Kisiga,Uhuru Seleman na Ramadhan chombo. msemaji wa timu hiyo ni Mpoki.


Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam Juni 9 ya mwaka huu. 

Na hiki chini ni kikosi cha team Samatta
 

No comments

Powered by Blogger.