Full-Width Version (true/false)


Nchi 10 zenye majeshi bora Afrika
Shirika la GFP (Global fire power) limetoa orodha ya majeshi yenye nguvu duniaani na kwenye mabara likiwemo Afrika  kwa mwaka huu wa 2018.

Kwa mujibu wa shirika hilo,Orodha hiyo imezingatia  idadi ya wanajeshi,uwezo wa majeshi yote ya ardhini, majeshi ya anga, majini, vikosi maalumu na silaha zake, helkopta, meli, ushawishi wa jeshi duniani, mipango yake ya baadaye na rekodi zake kwenye mapigano

Nchi ya Marekani  inaongoza kwa kuwa na jeshi imara na lenye nguvu duniani kote ikifuatiwa na Urusi.

Ifuatayo ni orodha ya nchi 10 za juu za afrika zenye majeshi imara kwa mujibu wa shirika hilo

1.Misri
2.Algeria
3.Afrika kusini
4.Nigeria
5.AAngola
6.Ethiopi
7.Morocco
8.Sudan
9.Libya
10.DRC congo

Tanzania ipo nafasi ya 17 afrika na nafasi ya 98 kati ya 136 kidunia

 NB:Kwa sasa unaweza kupata habari zetu zote sehemu moja kwa kupitia App yetu.kama bado hujapakua,pakua sasa kupitia play store kwa kubonyeza >>>HAPA

No comments

Powered by Blogger.