Full-Width Version (true/false)


Ndege yapata ajali nchini Saudi Arabia

Watu wanne waripotiwa kufariki katika ajali ya ndege iliotokea katika mbuga ya al Khunfa . Taarifa hiyo imetolewa na  uongozi wa mbuga hiyo jangwani. Miongoni mwa wahanga katika ajali hiyo ni mkurugenzi wa mbuga hiyo na kiongozi wa marubani.

Ajali hiyo imetokea Jumanne.

Mkurungezi wa al Khunfa Saud al Shamri  na Jodeid al Shamlani, rubani msaidizi  Mohammed bin Mofleh Qathami na Mojzaa al-Shamri wamefariki katika jali hiyo.

Hakuna taarifa ilitolewa kuhusu sababu zilizopelekea ajali hiyo.

No comments

Powered by Blogger.