Alikiba ameachia video ya wimbo wake
unaoitwa ‘Mvumo Wa Radi’ ambao ni
wa kwanza tangu afunge ndoa April 19 ya mwaka huu. Mara ya mwisho Alikiba uachia ngoma ilikuwa mwaka jana mwezi Agost alipoachia wimbo wake wa 'seduce me".
Video hii mpya imeongozwa
na director Meji Alabi. iangalie hapa chini
No comments