Full-Width Version (true/false)


NIC kuja na Bima ya kilimo

 

Shirika la Bima la Taifa la Tanzania (NIC), limelenga kuanzisha bima ya kilimo mwaka huu, ambayo itasaidia kuwapa usingizi wakulima mbalimbali nchini, waweze kunufaika kwa kujikinga na majanga.

Mkurugenzi mtendaji wa NIC, Sam Kamanga, ameweka bayana juu ya mpango huo, wakati akitolea ufafanuzi masuala ya bima za majanga, wilayani Kisarawe mkoani Pwani, alieleza, wamelenga kuanzisha program hiyo wakati wa siku ya wakulima ,nanenane na sabasaba mwaka 2018. 

“Katika program zetu tunaianzisha program hii ya bima ya kilimo ,kusudi kumpa mkulima nafuu ,kwani ni asilimia 75 ya wat“Kukitokea majanga wakulima hao huwa wakipoteza muelekeo ,tunataka kumpa usingizi mlaji ,hata akitokewa na janga shambani ama gari anzania wananufaika na kilimo”

No comments

Powered by Blogger.