Full-Width Version (true/false)


Orodha ya wachezaji na viongozi wa Yanga waliosafiri kwenda AlgeriaHii hapa ni orodha ya wachezaji 7 wa kikosi cha Yanga waliosafiri na timu kuelekea Algiers, Algeria kwa ajili ya mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya U.S.M Alger utakaopigwa Mei 6 2018.

Makipa

1. Youthe Rostand
2. Ramadhani Kabwili

Mabeki
3. Juma Abdul
4. Hassan Kessy
5. Haji Mwinyi
6. Gadiel Michael
7. Pato Ngonyani
8. Vicent Andrew
9. Abdallah Shaibu
Viungo
10. Said Juma Makapu
11. Raphael Daudi
12. Pius Buswita
13. Yusuph Mhilu
14. Emmanuel Martin
15. Geofrey Mwashiuya
Washambuliaji
16. Juma Mahadhi
17. Yohana Mkomola

No comments

Powered by Blogger.