Full-Width Version (true/false)


Padri anayehuburi Injili kwa ku-rap

Father Paul Ogalo maarufu kama ‘Sweet Paul’ kutokea Kenya ameingia kwenye Headlines baada ya kutumia style ya kuimba kwa kurap ilikuwavutia waumini kwenda kanisani yeye amesema ameona muziki kuwa njia nzuri sio tu kuwavutia vijana bali pia kueneza Injili.

Paul Ogal ambaye anatumikia kanisa la Kikatoliki amekuwa akionekana akichana wakati anapomaliza kuendesha misa amefanya mahojiano na media mbalimbali nchini Kenya na kudai kuwa anaandaa albamu yake mpya na ana matumaini ya kufanya kazi na wasanii wa Kenya na Tanzania akiwemo Bahati, Wyre na Nameless.

Bonyeza PLAY hapa chini kumtazama Padri huyo. Video credit by KTN News

No comments

Powered by Blogger.