Full-Width Version (true/false)


Picha: Atletico Madrid walivyotembeza kombe la Europa League mitaaniKlabu ya ska ya Atletico Madrid ya Hisania, Ijumaa hii imelitembeza mitaani kombe la Europa League ambalo walishinda Jumatano ya Mei 16 kwa kuifunga Olympique de Marseille kwenye mchezo wa fainali.Kwenye mchezo huo ambao ulichezwa kwenye uwanja wa Parc Olympique Lyonnais, Ufaransa, ulishuhudia Atletico wakiibuka na ushindi wa mabao 3-0. Tazama picha za kombe hilo lilivyotembezwa mitaani.


No comments

Powered by Blogger.