Full-Width Version (true/false)


Povu la Shamsa Baada ya Mume Wake, Chid Mapenzi Kutajwa Listi ya Wanaume Aliotoka Nao Wolper

MSANII wa Bongo Fleva, Harmonize ‘Konde Boy’ ameibuka na mpya huku vita baridi kati yake na ex girlfriend wake ambaye ni Staa wa Filamu nchini, Jacqueline Wolper ikizidi kushika kasi kwenye mitandao ya kijamii.

Shamsa Ford Aingilia kati baada ya kuona mume wake kutajwa katika listi ya wanaume 12 aliowahi kutoka nao kimapenzi.

Kupitia ukrasa wake wa instagram shamsa Ford aliandika Hivi, "@harmonize mdogo wangu plz nakuheshimu sana nisingependa kuona jina la mume wangu kwenye huo ujinga wenu, chid kwnu ni anaweza kuwa mshkaji kwangu ni mume kulikuwa hakuna haja ya kuweka jina lake wakati unajua ana maisha mengine tusichukuliane poa"

No comments

Powered by Blogger.