Full-Width Version (true/false)


Rais wa klabu ya Real Madrid, Florentino Perez ashitushwa na maamuzi ya Zinedine ZidaneRais wa klabu ya Real Madrid, Florentino Perez amesema kuwa ameshtushwa na maamuzi yaliyofanywa na aliyekuwa kocha wa timu hiyo, Zinedine Zidane kwakuwa yamekuwa ya ghafla mno na hakuna aliye kuwa amejiandaa kwa hilo.

“Kama ungekuwa na taswira baada ya kushinda ubingwa wa klabu bingwa barani Ulaya, ukasikia maamuzi kama haya usiyo yatarajia ni yakuhuzunisha sana kwa upande wangu, kwa mashabiki, kwa wachezaji na kwa kila mmoja ndani ya klabu,” amesema, Perez said.

Perez ameongeza “Nilihitaji awekaribu yangu milele licha yakuwa nafahamu ni maamuzi yake magumu, ningelipenda kumshawishi kubaki lakini nafahamu anachopenda.”

No comments

Powered by Blogger.