Full-Width Version (true/false)


Rasmi Majimaji FC imeshuka daraja,

 

klabu ya soka ya Majimaji FC imeshuka daraja rasmi baada ya ushindi wa mabao 3-1 iliyopata Ndanda FCdhidi ya stand united huku mchezo wa maji maji dhidi ya simba ukimalizika kwa sare ya 1-1.

Ili Majimaji FC kubaki ligi kuu  ilihitaji kushinda leo kwenye mchezo  dhidi ya simba na kuomba ndanda ipoteze kwenye mchezo wake dhidi ya stand kitu ambacho hakijafanikiwa.

Majimaji FC imeungana na majirani zao njombe mji kwenye safari hiyo ya kushuka daraja.


 

No comments

Powered by Blogger.